Previous Frame Next Frame
 • Wellcome

  Dream technology, developers of Computer Systems

  Image
 • Smart business

  Mfumo mpya wa kisasa wa kuendesha biashara yako

  Image
 • Smart Loan

  Mfumo wa kuendesha taasisi za fedha na mikopo

  Image
 • SERIS

  Mfumo wa shule wa kuandaa matokeo na malipo ya ada

  Image
 • Image
 • Image
 • Image

About Us


Dream technology ni kampuni ya mifumo ya kompyuta na Teknolojia inayohusika na utengenezaji wa mifumo ya Kompyuta.

Dream technology tunatengeneza mifumo ya aina zote kulingana na mahitaji yako au shughuli husika .

Dream technology tunatengeneza website (Tovuti) za kisasa za aina zote binafsi, za biashara au kwaajili ya Taasisi.

Tunatoa huduma zetu na kukufikia popote, mifumo yetu ni web based popote ulipo unaendesha shughuli zako

 • YOUR TEXT HERE
 • YOUR TEXT HERE
 • YOUR TEXT HERE

Our product


Mifumo tuliyonayo

Smart Business

Mfumo unakusaidia kufahamu Thamani ya biashara yako, Mtaji, Faida kwa kila bidhaa na kwa bidhaa zote. Shughuli nzima ya biashara hufanyika kupitia mfumo. Hakuna haja ya kutumia Calculator au Daftari mambo yote mfumo unafanya automatic.

Smart Loan

Mfumo unasaidia kuendesha shughuli zote za kifedha zinazohusu taasisi ya mikopo. Utoaji wa mikopo, viwango vya marejesho, tarehe za marejesho na kila kitu kinafanyika automatic hauhitaji kutumia Calculator au Daftari, Taarifa zote zinahifadhiwa kwenye mfumo.

SERIS

Mfumo unasaidia kuandaa matokeo ya mitihani ya wanafunzi kwa shule za sekondari pamoja na taarifa za malipo ya ada. Mfumo hupanga matokeo ya mitihani kwa kila muhula kwa namna zote na kutengeneza ripoti za matokeo kwa kila mwanafuzi na kwa ujumla.

Our Awesome Team


The founders of Dream technology

David R Macha

CEO / Founder

David R Macha Is a Main System Developer of Dream Technology who also is the founder of Dream technology.

Patrick P Mbuya

CTO / Founder

Patrick P Mbuya Is a Main System analyst of Dream Technology who also is the founder of Dream technology.

Ezekiel G Fumbuka

CMO / Founder

Ezekiel G Fumbuka Is a Chief Marketing officer of Dream Technology who also is the founder of Dream technology.

Erick Urrasa

CIO / Founder

Erick Urrasa Is a Chief Information Officer of Dream Technology who also is the founder of Dream technology.

Best Price Guranteed


Price for system hosting and renew

Starter

$0/mo

1 month FREE trial
2 GB Disk Space
10 GB Bandwith
1 Databases
Daily Backup
1 Domains
24h Support

Basic

$25/mo

1 Year
10 GB Disk Space
20 GB Bandwith
5 Databases
Daily Backup
5 Domains
24h Support

Economy

$70/mo

1 Year
20 GB Disk Space
Unlimited Bandwith
10 Databases
Daily Backup
10 Domains
24h Support

Professional

$199/mo

1 Year
Unlimited Disk Space
Ulimited Bandwith
Unlimited Databases
Daily Backup
Unlimited Domains
24h Support

Main services


Mairn services that we offered in Dream technology

System development
Web design and hosting
Graphic designing

What Our Clients Say


After getting what they expecting to get from us, This is what they say.

 • The best thing about Dream technology is Affordable price for their systems, Unlimited Support, services of your choice that meet all you needs.

  Stephan Kijanga - CEO - KECL Company Lmt

 • If you are looking for the best way to run your business in a profit no other way than using smart business. No need to waste your time any more, Dream Technology is there for you.

  Boniphacy Ngendo - CEO - Wakisha Maendeleo Lmt

HEAD OFFICE - ARUSHA


Location : Saba general Plaza, Arusha Tanzania

Address : P.O. Box 10373 – Arusha Tanzania

Phone : Call : 0 757 603235

Phone : Call : 0 673 567650

Phone : Call : 0 763 185924

Phone : Call : 0 622 830518

Phone : Call : 0 621 130976

Email : huduma@smartsystem.co.tz

Get in Touch


Send us a message here

Choose your Color